Kutoa
Mikopo
Rekodi na Hariri maombi yote ya mikopo kwa urahisi
Inapatikana App store na Playstore,
Scan ili kudownload.
KUHUSU
Kopesha hukuwezesha kusimamia mikopo kwa urahisi, kufuatilia takwimu
za mapato na marejesho, na kupata ripoti za kina kwa wakati halisi.
*Jinsi mfumo wa Kopesha unavyofanya kazi
HUDUMA
Kopesha inaipa biashara yako ufanisi katia kila hatua.
Rekodi na Hariri maombi yote ya mikopo kwa urahisi
Rekodi na Hariri marejesho yote ya mikopo kwa urahisi
Takwimu halisi za mikopo na marejesho mara moja.
MASWALI
Kopesha husaidia kusimamia mikopo, kufuatilia malipo, na kutoa ripoti za kina kwa biashara yako.
Chagua kati ya mpango wa Basic au Premium kulingana na mahitaji ya biashara yako.
Ndiyo. Takwimu za mikopo, marejesho na mapato zinapatikana papo hapo kwa wakati halisi.
Unahitaji simu au kompyuta yenye muunganisho wa intaneti pekee.
Ndiyo. Taarifa zako zimehifadhiwa kwa usalama wa hali ya juu.
VIFURUSHI
Basic kwa mahitaji ya msingi na Premium kwa zaidi.
Inapatikana App store na Playstore,
Scan ili kudownload.